Sauti Sol - Kuliko Jana ft Aaron Rimbui (Official Audio) - Video
PUBLISHED:  Nov 22, 2015
DESCRIPTION:
✓ Like and Subscribe to this Channel
https://goo.gl/hWs0Jd

We serve a loving God. He changes
not. His love and mercies are new
every morning.

Lyrics
Chorus
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni
kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama
binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende, leo kuliko jana
Nakuomba mungu uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda
mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombea
maisha marefu wazidi kukuona
ukinibariki
Ujue binadamu ni watu wa ajabu
sana
Walimkana yesu mara tatu kabla
jogoo kuwika
Ujue binadamu ni watu wa ajabu
sana
Walimsulubisha yesu masiah bila
kusita
Chorus

Wewe ndio nategemea, kufa kupona
baba nakutegemea (Amen)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni
utaniondolea (ooh ooh yeah)
Wewe ndio nategemea (Amen) , kufa
kupona baba nakutegemea (oh, oh)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni
utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, kufa kupona
baba nakutegemea (Eh, bwana)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni
utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea (kwa nguvu
zangu zote), kufa kupona baba
nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni
utaniondolea (oooooh)
Chorus
Wewe ndio nategemea (wewe), kufa
kupona baba nakutegemea (wewe)
Chochote kitanikatsia (uh-huh) kuingia
mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (ooh),
kufa kupona baba nakutegemea
(nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni
utaniondolea
Chorus
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top