JuaCali - Mwoto Sana (Official Video) - Video
PUBLISHED:  Oct 17, 2016
DESCRIPTION:
Artist: JuaCali
Song Title: Mwoto Sana
Audio Produced By: Babz On The Track
Video Directed By: Johnson Kyalo

MWOTO SANA LYRICS.
Verse 1
Hii ni ya wale wote waliDoubt tukianza
Miaka kumi zimepita na bado tuko hapa
Niliambiwa kitambo sana watakupenda
Wakuchukie halafu wakupende tena
Hii ndio kitu siupitia kwa hii biashara
Biashara ngumu biashara noma sana
Lakini tunafanya hii maneno ka mavijana
Na hii ni ingine Mwoto sana

Chorus :
(Calif records) Scratches(Records)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine Mwoto sana
Scratches(JuaCali….Cali)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine……..

Verse 2
Ah! Hii ni ya ma fans wamekua na sisi mpaka wa leo
Na wale wameongezeka leo
Imekua inatubamba mumekua hii time yote
Na mko wengi mumekua wapi nyi wote
Pewa kitu sahau shida za maisha
Kitu inakustress unaiwachilia
Wacha ikurarukie vibaya sana
Na hii ingine Mwoto sana

Chorus :
(Calif records) Scratches(Records)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine Mwoto sana
Scratches(JuaCali….Cali)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine Mwoto sana

Verse 3
Niko juu ya timboots jeans Tshirt
Cologne kwa mwili imeitika
Weekend imefika lazima leo kadunda
Napigia Alpha anakuja kunichukua
Na watoto wanne wawili wangu wawili wake
Roundi hii nikutimbua mpaka che
Dj anaachilia hii ngoma ajab sana
Akiambia watu hii ni Mwoto sana

Chorus :
(Calif records) Scratches(Records)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine Mwoto sana
Scratches(JuaCali….Cali)
Mwoto sana
Scratches(Babz on the Track oh!!!)
Hii ni ingine……..*2 #JuaCali
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top