JuaCali - Tunaona Mbali (Audio-Video) - Video
PUBLISHED:  Apr 14, 2014
DESCRIPTION:
JuaCali - Tunaona Mbali (Audio-Video)
Produced by Mandugu Digital

TUNAONA MBALI LYRICS

Mandugu Digi hii beat noma mzee....

Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda
Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2

Verse 1
Kichwa yangu iko mbali sana
We unafkiria hapa me nafkiria mbali sana
We uko juu ya nyumba me niko juu ya ploti
We uko juu ya shillingi me niko juu ya noti
Za kunisaidia kujitoa kwa shida za dunia najiokoa
Nimetulia saa hii naskia poa fikira zote mbaya nimezitoa
Niko juu nione nikipaa
Wacha kukasirika nika ukona njaa
Unakunja uso sana utazeeka
Unafura sana utachekwa
Maskio zangu zote ziko wazi
Macho zangu zote ziko wazi
Nangoja kukuona ukitia blunder
Nikutoe hapo number moja speedy sana
Roho inachafuka we ni mtu wa uivu
Wire imetapiwa usionge mbaya kwa simu
We tulia uone vile ye ujipa
Watu wa mtaani tunaendelea mbele na sifa

Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda
Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2

Verse 2
Kichwa yangu iko mbali sana
Ka mbali na mimi nachoma ka jua ya saa saba
Nipe yangu ama nitaichukua na lazima
Jina inaivaa bado sijashiba
Msanii kimbia sioni ka utanifikia
Msanii kimbia hii maneno sitaachilia
Calif ndio mtaa nilizaliwa
Na Calif ndio misuli bado inanishikilia
Genge tukailea na saa hii tunawapatia
Tukaitetea na saa hii mnaikimbia
Mpaka wa leo wanajaribu kunivunja mguu
Kitu wamesahau ni confidence iko juu
Manzi yangu nikakosana nae
Uongo mbili tatu nikaskizana nae
Deni nikalipa nusu shingo upande
Nikabishana na jamaa nikamkata shingo upande
Watu wananiogopa wanasema kichwa imeruka
Msiwe na was ngoma zinakuja kuruka
Mtego zote mumeweka tunazishtuka
Tuko hapa sana hakuna haja ya kushtuka

Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda
Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *2


Verse 3
Tutaskuma hii kitu mpaka siku ya mwisho
Si ni kina nani na watu washasema ndio
Uzee tumeikata kabisa
Mvi pia tumezipiga dye kabisa
Ona vile inatushika saa hii
Hakuna kukasirika watu wanatuskiza saa hii
Wametukubali Afrika na dunia nzima
Tutawatolea vitu hakuna kupima


Chorus - Safari tumeshika Vita tumeshinda
Yeah Tunaona Mbali Yeah Tunaenda Mbali Yeaaaaah *4
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top