Waziri NAPE:Nitaenda Clouds Media kesho kujua kilichotokea - Video
PUBLISHED: Mar 19, 2017
DESCRIPTION: Kutokana na video kusambaa mitandaoni ikimuonesha RC Makonda akiingia mahali panapodaiwa ni clouds media, waziri Nape ameahidi kwenda ili kujua kilichotokea.