Nay wa Mitego: Usalama wa maisha yangu ni mdogo - Video
PUBLISHED: Apr 03, 2017
DESCRIPTION: Msanii Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni alikamatwa na kuachiwa pia wimbo wake wa wapo kufungiwa na baadae kufunguliwa amedai Usalama wa maisha yake ni mdogo kwa sasa na anamtegemea Mungu tu kumlinda.