Mtoto Pacha azikwa huku baba akiwa bado anashikiliwa na polisi - Video
PUBLISHED:  Apr 12, 2017
DESCRIPTION:
Hatimae yule mtoto Pacha amezikwa jana baada ya majibu ya uchunguzi wa daktari kukamilika huku baba mzazi wa mtoto akiwa bado anashikiliwa na polisi.
Ambapo ni mwendelezo wa hekaheka ya jana iliyokuwa ikihusu mama kumwachia watoto mapacha baba na ghafla Pacha mmoja kufariki kesho yake!!
Nimezungumza na upande wa Pili ndugu zake na mama wa watoto,na Mshenga pia amezungumza jinsi ilivyokuwa...

-Video Upload powered by https://www.TunesToTube.com
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top