JUACALI - BABA YAO (Official Video) - Video
PUBLISHED:  Dec 15, 2011
DESCRIPTION:
Juacali - Baba Yao
Beat ya Clemo
Directed & Animated by Charles Luche
LUCH PRODUCTION 3D

BABA YAO LYRICS
Chorus :
Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Verse 1
Chini ya maji naona wakininyemelea
Na roho zao mbaya nazimesea
Walichukua vako yangu wakapotea nayo
Saa hii wanataka kuchukua jina yangu wapote nayo
Haiwezekani kabisa watu wangu
Kwani hamuoni bado napumua hewa yangu
Niliamua kuchukua break kidogo
Saa hii wanapiga kelele wakispread uongo
Wanajaribu kunieka chini nainuka
Wanajaribu kunipiga mpini naziskuma
Wanachora picha mbaya haina noma
Baadaye watajua nani anasonga
Chorus :
Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Verse 2
Hii kitu nimepewa na Mungu huezi ninyanganya
Ma Fans wangu sugu huezi wadanganya
Tumekua hapa zaidi ya miaka kumi
Nadhani saa hii mnajua hizo matusi zenyu hazitusumbui
Mwenye nguvu chali yangu mpishe
Compe ni compe yule noma ashinde
Msanii usitegeme sana watu wa *%$#
Chali yangu hivi karibuni watakukimbia
Wachore mtu wangu jisaidie
Watoke mtu wangu jismamie
Wanakueka chini ndio hao wafeel wako juu
Baadaye waonyeshe nani yuko juu
Chorus :
Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Verse 3
Kila siku kazi yangu imekua mistari
Kila siku kazi yao imekua utiaji
Nimedumu kwa industry nipe heshima yangu
Nahustle ndio uzeeni nikule bidii yangu
Unataka nisote mpaka nizimie
Ama ma Fans wangu wote wanikimbie
Haiwezekani kabisa watu wangu
Kwani hauoni namalizia album yangu
Utaharibu aje kitu haujatengeneza
Ama unajijazia ulisaidia kujenga
Tafadhali usifanye nicheke
Genge iko hapa mpende msipende
Hio ndio kitu me naaminia
Na milele me nitasimamia
Nikisaidiwa na jeshi mzima
Na Fans wangu zaidi ya millioni sita

Chorus
Hauezi nieka chini, me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao
Hauezi nieka chini me ni baba yao me ni baba yao

Chali yangu uko juu mtu wangu uko juu
Usiambiwe na mtu wowote ati uko chini
Chali yangu Uko juu
We hustle vile unaweza au sio
Eeeeeeh Gengeeeee.......
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top