Phine the truth - Dear dady ft Patrick (Official Video) - Video
PUBLISHED: Sep 26, 2016
DESCRIPTION: Maisha halisi yanayo wakumba asilimia kubwa ya watoto na vijana wengi katika jamii za kitanzania na Afrika kwa ujumla wake wazazi walo wengi kutokutoa ushirikiano kwa watoto na vijana zao. Imeandikwa na kuimbwa na Phina the truth akishirishwa Patrick na kutayarishwa na Vale Midundo pamoja na Smart junior na kuongozwa na Zb