LES WANYIKA - Sina Makosa - Video
PUBLISHED: Oct 28, 2010
DESCRIPTION:
Yule si wako
Nami si wangu
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Chuki ya nini kati yangu
Mimi na wewe
Hasira za nini wee bwana
Wataka kuniua bure baba
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved