DESCRIPTION: Baada ya timu ya Yanga kushindwa kumkumbuka walau Dk moja mchezaji wao wa zamani Godfrey Bonny aliyefariki Simba kupitia Haji Manala wamesema wao watamkumbuka lkn pia hata wadau wa soka nchini wameonesha kushangazwa na kitendo hicho cha Yanga