Fadhili za Bwana - Kenya Science Campus Choir, University of Nairobi - Video
PUBLISHED:  May 12, 2017
DESCRIPTION:
Fadhili za Bwana ni mojawapo wa nyimbo tisa katika kanda ya video ya Imani na Matumaini, iliyoimbwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Nairobi, Kenya Science Campus.

Albamu hii inayowajieni hivi karibuni, ni kazi ambayo imeandaliwa kwa umakini mkubwa na GSR Smart Sounds, mwezi Mei 2017.

CREDITS
________________________
Title: Fadhili Zake Bwana
Album: Imani na Matumaini
Choir: Kenya Science Campus, University of Nairobi
Composer: Egid Mshumbusi
Organist: Renatus Rwelamira

Camera: Olga, Renatus, Munywoki
Edited by Martin Munywoki
follow us on Twitter      Contact      Privacy Policy      Terms of Service
Copyright © BANDMINE // All Right Reserved
Return to top