PUBLISHED: Jan 19, 2016
DESCRIPTION:
Ni video ilokusudiwa kuwashika wapendanao walokuja kuwatembelea wazazi wao, na Red Pro Record ikapata nafasi ya kwenda kuwapokea vizuri ili kutoa burudani zaidi na kuwafanya wajione wenye thamani katika safari yao ilokuwa na furaha tele. Tupo Boise na kazi zetu ni kama hivi.